Recent content by Themanini

  1. T

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Unataka kuniambia vituo vyote vya televisheni bei ni sawa???? hilo moja LA pili unahakika kuwa member wote walioingia pale Jana walikua 1000??? Tatu muziki hauwezi kuwa na gharama kubwa zaidi ya wasanii waliotumbuiza NNE ni nani amekuambia kuwa ukumbi ulikodiwa kwa kiasi hicho cha pesa??? Acha...
  2. T

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Umekielewa ulichojibu au umejibujibu tu hebu rudia kusoma na upige tena hesabu zako
  3. T

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Niko Mtwara Chadema haina ofisi huku wanakutana kwenye nyumba ya mzee mmoja anaitwa Bujugo kuendesha vikao vyao
  4. T

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    ITV wangekua zaidi ya CNN kama ndo hivyo
  5. T

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Mwalimu wako ni nani?????
  6. T

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Nadhani unajua kama watu walikua wanatoa michango kabla ya uchaguzi na uzinduzi kupitia Bank na kwenye simu pia nadhani unajua kuwa kila chama kina ufadhili na marafiki kutoka nje ambao wanatoa michango ya mali,ushauri na vitu mbalimbali pia nadhani unajua zile helicopter za chadema zinakotoka...
  7. T

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Ilikua masaa mangapi
  8. T

    ACT-Tanzania yapitisha Katiba (Soma Katiba ya ACT hapa)

    Umemsikiliza prof Kitila Mkumbo??? Kama haujamsikiliza jaribu kufuatilia siasa za Kenya,Afrika ya kusini,China,uingereza au tafuta katiba ya ACT uisome
  9. T

    ACT-Tanzania yapitisha Katiba (Soma Katiba ya ACT hapa)

    Ukiwa kiongozi wa ACT kuanzia ngazi ya jimbo ukagombea nafasi ya uongozi kuanzia udiwani na kuendelea na kwa Bahati mbaya ukakosa kuchaguliwa utatakiwa kujieleza ndani ya chama ni sababu zipi zilizopelekea ushindwe ilihali Wewe ndiye mtu unayeweza kueleza vizuri Sera za chama na kama maelezo...
  10. T

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Nani kakudanganya hakuna kituo cha television kinachotumia malipo ya sekunde huanzia na dakika na dakika moja haizidi laki moja pia kuna tofauti kati ya tangazo na kulink live kulink live kuna punguzo kubwa sana
  11. T

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Wakati M4C inazinduliwa ilifanyika harambee kubwa sana na ilirushwa na kituo cha ITV sio chini ya masaa manne ulishawahi kujiuliza swali kama hilooo
  12. T

    Mkutano mkuu wa Uzinduzi wa chama cha ACT - Wazalendo

    Hata kuandika haujui vipi utaweza kumkosoa mtu
  13. T

    Mkutano mkuu wa Uzinduzi wa chama cha ACT - Wazalendo

    Uzinduzi wa chama hapo kesho ndo utarushwa live nadhani haukua makini katika hili
  14. T

    Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

    Kwa mujibu wa mtoa mada gram 10 ya dhahabu ni mil 70 hivyo gram 1 itakua mil 7 labda niulize dhahabu ya wapi hiiii???? Gram moja mil 7!!!!!!!!!!!!!!
  15. T

    Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"

    Zitto kasema mwanasheria wa Chadema akiambatana na Katibu mkuu waliutangazia umma wa watanzania kuwa wamemfukuza ndani ya chama lakini bado haikua taarifa rasmi ya kimaandishi kwani Zitto mwenyewe hakupewa barua wala tume ya taifa ya uchaguzi haikupewa barua hivyo hata spika nae hakuwa na...
Back
Top Bottom