Recent content by Thelone

  1. T

    Naombeni ushauri wana jamii juu ya uhusiano nilionao kwa mpenzi wangu

    Niliwai kuchangia Mada hapahpa kweny swala la mahusiano ya mbali. Huyu nipo nae mbali, kupita mwaka1 bila kuonana ni kitu cha kawaida tu kwetu, kwao natambulika lakini sio kwa kuchumbia, hvo Dada ake, na kaka ake ndyo ambao wananipaga taarifa endpo akienda mwanaume kumtolea posa binti anakataa...
  2. T

    Naombeni ushauri wana jamii juu ya uhusiano nilionao kwa mpenzi wangu

    Nina msichana niko kwenye uhusiano nae yapata mwaka wa8 sasa, lakini kwenye maisha ya uhusiano kamili ni miaka6, wa 7 na wa8 imeikuwa ni miaka ambayo changamoto,misukosuko,kugombana na kufikia hatua ya kuvunja kwa uhusiano. Shida ilianzia pale ambapo ameniona mm siendi kumchumbia kwao hpo ndo...
  3. T

    "Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

    Tuna mwaka wa7 sasa na ndani ya miaka 7 hiyo tumeonana live kwa mara 4 tu. Mara 1 ni siku ya kwanza kuwez kuonana na kufahamian na awamu 3 hizi ni ambzo tayari tushakuwa kwenye uhusiano,. KiUkweli si kazi lahisi kuwa na uhusiano wa namna hiyo
Back
Top Bottom