Mnaowasema Wameru, hebu tuambieni pia makabila yenu ili tuwalinganishe na Wameru, tuone kama nyie ni bora kuliko hao Wameru...
mleta mada kuwa wa kwanza kutuambia kabila lako, upewe majibu yako
Toka mwaka huu uanze kumekuwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe (ASF) kwa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Pwani, Tanga na sasa Arusha na Kilimanjaro ugonjwa unaendelea kushika kasi. Kwa sasa nyama ya kitimoto inayouzwa kwenye mabucha Arusha na Moshi kwa kiasi kikubwa inatokana na nguruwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.