Recent content by TheHustler

  1. T

    Mwanamke anayetelekeza watoto mapacha wa miaka miwili anawaza nini?

    Babuuu eh,usiombe likukute. Japo sijazoea na naona bado kama ndoto,wakiwa na 1.5 years alifanya hivo,nikambembeleza,akakuza kidogo. Baada ya mwaka,akasusa mazima. Bado nakomaa, si kazi ndogo,we baba we mama, unatakiwa uwalee,uwahudumie, na ndo utafute. Siku moja, hata uji hawana...
  2. T

    Mwanamke anayetelekeza watoto mapacha wa miaka miwili anawaza nini?

    Dah! Kuna watu wana roho ngumu, basi tu. Hivi, kweli, mwanamke anaejitambua, anawaza nini anapoamua kutelekeza vipacha vya miaka miwili na nusu? Baba ndo awe mlezi, awe mtafutaji, mama akale bata na wanaume kusikojulikana! Japo na wanaume hawako sawa(badhi),ila pia wanawake na wenyewe kuna...
  3. T

    Msaada wa yeyote anayeweza kunisaidia, unahitajika tafadhali

    Ni matumaini yangu nyote mko salama. Ingawa nipo na ID mpya, mimi ni mwanachama wa muda mrefu. Mimi ni mwanaume, na nimejikuta katika hali ya kulea pacha ambao mama yao aliwaacha wakiwa na mwaka mmoja na nusu. Wakati huo nilikuwa Dar es Salaam kwa shughuli za kutafuta riziki. Niliamua...
Back
Top Bottom