Kwenye latest software unapata ulinzi zaidi wa simu yako dhidi ya hackers ambao wanakesha kutafuta namna ya ku hack na kuiba tarifa zako na pia unapata features mpya ambazo hazikuwepo katika toleo lililopita.
Ukiachana na features updates, kutumia simu isiyopata security updates ni hatari kwa...
Chaguo zuri lilikuwa Galaxy a16. Hapa ungepata Software major upgrade miaka 6.
Tatizo la hizi infinix, Tecno, nk hawafanyi software upgrade. Ina maana ukinunua simu ya Android 14 au 15...ndo imetoka hiyo huwezi pata latest android software.
Kwa ujumla hii sijaielewa. Mimi natumia software mbalimbali kama vile, autoCAD, ArchCAD, Microsoft Project, Foxit PDF, American truck, nk. Naweza kutumia Portable Apps??
Hello wadau.
Fulsa imetolewa bure ya kuandika kwenye website. Website hii ni engineering blog, wadau wote wenye interest ya kuandika na kutaka ku share mambo mbali mbali ya kitaaluma wanaweza kufanya hivyo.
Wahandisi, wanafunzi wahandisi, na wengine wote wanaoweza kuandika maada yoyote...
Wastewater treatment combines physical, chemical, and biological processes to eliminate pollutants, pathogens, and harmful substances to produce safe water for discharge into the environment or reuse.
Furthermore, methods of treatment in which the application of physical forces predominates are...
Mtoa hoja naomba unieleweshe kidogo, kwa sasa kuna kitu kinaitwa roaming kwenye mitandao ya simu na hasa ukitoka nje ya nchi..... inakuaje hii roaming.! Ni nini??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.