Ni sawa , ila md5 nazo ni rahisi sana kuzicrack na kuna online tool nyingi sana ambaxo zinacalculate hizo md5 , labda uniambia md5 hard salted one . Hapo sawa ingawa nazo zinaweza kuwa cracked ila inatake time.
Best option ni kutumia Bcrypt hash , yani hixi ndio funga kazi kwasabb huwezi...
Unajua bro kwann nimesema NOVA3 ni kali ?? Pubg lina constant mission yani unajua kabisa nikifika sehmu fulan kuna adui au kuna kitu fulan
Ila hio haipo kwa nova 3 yani hilo game kama ulipita jana ukakuta sehmu fulan labda kuna snippers wa kiarabu kesho huwakuti yani unawinda na una windwa...
Wewe game kali na zinachallange ziko nyingi sana
Umecheza NOVA 3 orbit version
Hilo game ni kaliii yani kama muvie vile ! Kiukwel nalipenda kwasabab mission ziko nyingi na challenge za kutosha , snipers na nk
Watch demo hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.