Recent content by thedoctor

  1. thedoctor

    Mjadala: TCU kuzuia vijana wa tahasusi ya CBG kusoma shahada za afya

    CBG anaweza kusoma nursing tu na environmental health basi
  2. thedoctor

    Mjadala: TCU kuzuia vijana wa tahasusi ya CBG kusoma shahada za afya

    kweli kabisa Mkuu mimi pia nilikua nafahamu hivi toka kitambo, sasa nashangaa vijana wanalalamika
  3. thedoctor

    Niapply chuo gani kusomea Doctor of Medicine(MD)?

    kcmc ni chuo cha kata ya wapi mkuu?
  4. thedoctor

    Msaada: Kupiga hii nyumba rangi upya inaweza kunigharimu kiasi gani?

    mmmh kwasababu ya huyo dada, itakua bure tu
  5. thedoctor

    Serikali itatoa hela ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo kwa awamu, yasema haina hela kwa sasa

    Me mwenyewe nimemshangaa huyu mtu, sasa sijui vyuo vikubwa ni vp? labda mwenzetu anaangalia ukubwa wa majengo
  6. thedoctor

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    wanaangalia ada uliyokua unalipa secondary, ili kujua unauwezo wa kujilipia kwa kiasi gani, baada ya hapo wanachukua ada ya chuo ulichopangiwa wanatoa na kiasi ulichokua unalipia secondary
  7. thedoctor

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    tatizo watu wa art mpo wengi kwahyo ukichukua jumla ya pesa mnazotumia ni nyingi kuliko wa science
  8. thedoctor

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    div 1 na 2 ni sifa za kuomba grants, kwahyo kama umechaguliwa MD na una div 3 utapewa mkopo na sio grants
  9. thedoctor

    Msaada: Nina two ya 12 CBG, naweza soma Veterinary Medicine (BVM) SUA?

    hakuna mtu wa CBG anaesoma MD muhimbili, labda useme nursing
  10. thedoctor

    Kauli za Rais Magufuli na mustakabali wa Taifa letu

    si kweli ofisi nyingi tu zimesimamiwa na watu wa darasa la saba kwa muda mrefu na hakukua na zilienda vizuri tu
  11. thedoctor

    Mtu akisoma na bado akashindwa kuongea kingereza si kilaza?

    kingereza ni lugha ya mawasiliano kama zilivyo lugha zingine, hivyo basi huwezi kumuita mtu kilaza eti kwasababu hawezi kuongea kingereza
Back
Top Bottom