Wanajeshi wa Ukraine wamejiondoa kutoka mji wa mashariki wa Siversk uliokumbwa na vita, huku Urusi ikiendelea kusonga mbele taratibu.
Jeshi la Ukraine lilisema Jumanne kwamba lilichukua hatua hiyo "kuokoa maisha ya wanajeshi wetu na uwezo wa kupigana wa vitengo", na kuongeza kwamba vikosi vya...
Kwanini usiende wew kumsukuma ila faham ana 7000 active nuclear warheads akivigawa kwa EU kila mmoja anapata 220 usisahau ana orshenik, iskander na nyenginezo nyingi
Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto
Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao wapo feza na international school zengne wanasoma
Wasalm alaykum tena wana Jf.
Naam naamini wanaofatilia kile kinachoonekana na kuendelea pale Tianjin, China na katika mkutano wa kilele wa Shanghai cooperation organization.
Ndio, bwana Xi Jingpin amekusanya kila mwenye nguvu kutoka Russia kwa Vladimir Putin, mashariki ya kati kwa Ayatollah Ali...
Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa.
Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu...
Heri umemjb uyu sijui nini kinamsumbua lissu ni package ya siasa elimu, ujasiri, uzalendo, akili, ujuzi, kipaji yaan hmna kitu lisu kinahitajika mungu hakumpa. Nakushauri nenda Google andika tundu Lissu ni nani mambo saba muhimu yanayomtambulisha mwanasiasa huyu bbc swahili. Asante sana
Ndio tunazijua mana biashara sio uchi kama unafichwa biashara ni kitu cha wazi mana sisi ndio wanunuzi kwaio mfanyabiashara tunamjua na fisadi tunamjua
Viwanda wanaviuaa mwisho wanafanya makanisa wenzetu wanavifufua au kuvigeuza majengo mengine yenye maslahi ya wananchi wote. Mdano pale south Bend, indiana Us mayor wao Pete Butigieg
Haki haipiganiwi na mmoja kama tunavomuachia Tundu Lissu mana yake ikitokea nimefanikiwa nitakuja kua kama Hitler alivofanya pale Ujerumani. Sasa faida iko wapi
Usaliti gani apo amefanya, Chadema inataka maridhiano ili hoja za za kubadilishwa kwa mifumo ya uchaguzi na katiba itekelezwe au mnataka aseme watu tushike mapanga na sime tuingie barabaran kuyadai hayo ili na yeye mum'bambikizie kesi mkamtese. Msenge mtoa post
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.