Recent content by The Wing

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kulikoni tena mbona mapema sana tumeanza Kumlaumu huku tulishamsifia mno kuwa bonge la Kocha mpiga miti?

    Ushamba wetu tu, hatutaki kukubali mpira wa Afrika umekua. Sisi wenyewe timu za kaskazini huko zinatoa jasho kwetu huku, kwa hiyo hata hizo Nchi tunazozidharau zimeimarika.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

    Ujuaji mwingi sana
  3. T

    JamiiForums Tanzania Huyu Chuga Boy hata Namungo hana nafasi ya kuanza

    Bado kijana, kipaji anacho apewe muda. Tunapenda kuwakatia tamaa hawa vijana sababu ya kuwalinganisha na akina Kangwanda. Huyu mtoto boli lipo
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga akiendelea kutumia mawinga wake hivi msimu huu hatoboi

    Kwani Kangwanda alifunga goli akiwa wapi mechi ya Simba. Mechi na Namungo Hussein aligongesha mwamba akiwa wapi? Angalia vizuri mechi za Yanga.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dimba la Amani Complex Zanzaibar lafungwa kwa muda kufanyiwa ukarabati

    Bora aisee
  6. T

    JamiiForums Tanzania Huyu Peter Shalulile ni kiporo cha ugali, usajili wake ni wa mhemko tu, hamna mchezaji hapo

    Leo mbona kacheza vizuri sana. Ametoa krosi nzuri tu ya goli, amepress mwanzo mwisho bila kuchoka. Sema timu ya Yanga wachezaji wake wengi bado hawajawa na fitness nzuri akiwemo yeye. Baada ya muda timu zitalia mno.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

    Yanga kuchukua fungaji lao bora la msimu uliopita na bado wanabeza.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

    Yanga tafadhari timu yangu msimsajili Chobwedo, hiyo ni aina ya uchezaji ya Simba. Mwacheni akashindane mwendo na Libase Gueye.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Yanga Kujiandaa Kuikabili Simba Kwa Siku Tatu tu Baada ya Siku ya Mwananchi September 12 Ni Dharau Kubwa Kwetu Simba, Lazima Tuwaonyeshe

    Siku ya Mwananchi ni bonanza, ambapo wachezaji woote wanacheza. Sidhani kama nguvu kubwa inatumika.
  10. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025

    Walikuwa wanagombea uongozi kwanza.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Simba kumuaga Mkude ni kumnanga na kujikosha tu, asikubali

    Acha waagwe, mambo ya kuishi na vinyongo mtakufa bure.
  12. T

    JamiiForums Tanzania JEZI MPYA YA YANGA KUELEKEA MSIMU WA 25/26 MWANANCHI UMEIONAJE JEZI HII ?

    Uzi mkali Dunia nzima.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Mzize ni wa kucheza nje kweli

    Mbona hujatuambia kwa nini sio wa kucheza nje? Yaani unakuja na hisia tu halafu uzi umekwisha. Tuambie kwa nini?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Simba watajwa kwenye jezi ya Yanga Baada ya Mach 8 kukimbia mechi

    Sasa utaongea nini wakati una timu mbovu.
  15. T

    JamiiForums Tanzania CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

    Feisal mchezaji wa mechi ndogo ndogo.
Back
Top Bottom