Recent content by The wan

  1. The wan

    Wahi laptop hp 630 bei nzuri

    thanx ndugu kwa kuniweka sawa. bei ni tshs 700,000 tu
  2. The wan

    Wahi laptop hp 630 bei nzuri

    aya kaka, bei ni 700,000 tu
  3. The wan

    Wahi laptop hp 630 bei nzuri

    bei ni Tshs 700,000 tu ndugu yangu
  4. The wan

    Wahi laptop hp 630 bei nzuri

    specifications zake: HDD ni 320GB, processor ni celeron(R) dual-core CPU T 3300 @2.00GHz, OS ni windows 7, screen ni 15.6 inch. Battery inakaa masaa 4. Ipo katika hali nzuri,napatikana maeneo ya Dar es Salaam. Nicheki kwa +255 762 986 611 Muonekano wa laptop katika pande tofauti...
  5. The wan

    re; nyumba ya kisasa kwa wakazi wa Dsm

    Je unatafuta "nyumba ya kupanga nzuri na ya kisasa?? Umechoka kuzungushwa na madalali??" hii ni habari njema kwako… · nyumba ni mpya, haijawahi kupangishwa · ina vyumba viwili vya kulala, sebule, kibaraza, jiko na choo cha ndani. · ina umeme · kuna karo la...
  6. The wan

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    nyumba bado ipo, Tshs 200,000 kwa mwezi.bado ipo
  7. The wan

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    imebaki moja wadau wenye nia ya dhati. You wont regret having it!!! Karibuni
  8. The wan

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    kwenye corridor kwa ndani, as perfect as it is!!! KARIBUNI haina dalali
  9. The wan

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    usihofu ntazitupia humu
  10. The wan

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    PICHA ZAIDI..... 1. hapa zinavyoonekana kwa nje kutokea barabarani kwa upande wa kulia na kushoto. 2. hapa ni kwa muonekano ndani ya geti. (kwenye hilo bomba ni karo la maji safi yanayojazwa na mvua kupitia mfumo maalumu wa kuyateka maji na kujaza kwenye hilo karo safi. Lina zaidi...
  11. The wan

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    nyumba haina dalali, served on a first come basis. KARIBUNI
  12. The wan

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    hizo ni changamoto ndugu, kulipa kila mwezi kodi inasaidia kuondoa usumbufu kwa wote, anayepanga na anayepangisha
  13. The wan

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    haina dalali, mimi ni muhusika wa hiyo nyumba.hamna middleman hapa so no need to worry here atlast. wenye nia ya dhati kupanga karibuni
  14. The wan

    Nyumba zinapangishwa mbezi

    sio msakuzi, ni mbezi makabe "kwa mzungu" km 2.5 kutoka kituo cha mbezi mwisho
Back
Top Bottom