Recent content by The walking dead

  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi.

    Anapambana ili ajiajiri mwenyewe anatafuta mtaji kwanza
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi.

    idea ya biashara anayo na alishawahi kujiajiri kwa kutengeneza juice na kuuza kwenye migahawa ila alipata changamoto sehem anapouzia kwa kusababishiwa hasara ya mtaji wote aliokuwa nao. kwa hiyo amekwama ndio mana anatafuta kazi ili afanye kwa malengo akipata aendeleze biashara yake hiyo iliyokufa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi.

    Habari wana JF, Namtafutia kazi rafiki yangu wa karibu ni mdada, kazi za stationary boutique na zenye kufanana na hizo na ana experience nazo pia kwa miaka mitatu.Kwa yeyote mwenye access nazo naomba msaada Tafadhari. Anaishi Dar.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    hahahaa wewe Mwakyambiki una mambo kuna majini humu tena
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    Mawasiano ya umma na namalizia masters
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    wanye degree zingine hawana nafasi?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    haaaahaaaa
Back
Top Bottom