Recent content by The tolerance 1

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Wala mwanamke hachungwi,anajichunga mwenyewe,kama ilivyo kwa mwanaume,mtu mzima Huwa anajichunga mwenyewe,yani kumlinda mtu mzima ni kujidanganya na kupoteza muda,kama mwanamke ana tabia mbovi hata umchunge vipi atafanya tu.
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Hapa nlikuwa namaanisha hisia,anawezaje kuwa na hisia kwa wanaume wawili kwa wakati mmoja? Wanaume Huwa wanaweza kwa sababu nature ya mwanaume ni kutamani,lkn mwanamke anapenda kwa hisia,ndio maana akichepuka Huwa anakuwa anapenda aliyechepuka naye tofauti na mwanaume,Sasa ni je anawezaje...
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wetu waliishi miaka mingi sana sababu walioa wake wengi

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wetu waliishi miaka mingi sana sababu walioa wake wengi

    Mi nafikiri suala ni kumuomba Mungu tu umpate aliye sahihi,kuoa wake wengi sio solution,unaweza ukawa na wanne wakakuvuruga kichwa kabisa,na ukawa na mmoja na akakutuliza
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Kumlinda mtu mzima ni ngumu sana,mtu mzima Huwa anajichunga mwenyewe,huyu jamaa hata angemchunga vipi mkewe angeliwa tu maana mpaka kufanya hivyo alidhamiria
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Hii ni hatari,mi nawaza wanawezaje kuwa na wanaume wawili at the same time?
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    But sio wote wapo hivyo mkuu
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Anamaanisha msiwafatilie wake zenu
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Pole sana mkuu,hivi hao wanawake wa hivyo mnawatoa wapi? Kweli sisi wanawake hatuna shukrani,yani unapata mtu anakujali na kukuthamini hivyo,Hadi kukufungulia biashara,atoke kazini akufate biasharani then unamdharau? Akili Hana.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba na eneo vinauzwa

    Nyumba yenye eneo kubwa inauzwa,ipo Kibaha kwa Mfipa,nyumba Ina vyumba vitatu,zikiwemo master mbili sebule kubwa na jiko. Ukubwa wa eneo ni sqm 700 kwa 210, Hati ipo. Vyote hivyo vinauzwa kwa bei nafuu kabisa ya shilingi milioni sitini na saba(67000000), ni pazuri na panavutia sanaa. Kwa maelezo...
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijajua maana ya amri 6 usizini

    Wanaume
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijajua maana ya amri 6 usizini

    [emoji419][emoji419]nakazia
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijajua maana ya amri 6 usizini

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijajua maana ya amri 6 usizini

    Sio kweli,kumbuka ukioa umeshaongeza majukumu,lazima uchakarike ili uweze kumudu familia,Sasa wewe unalala ndani hauhangaiki then unasema mke ana mikosi? Au kweli unawajibika na kipato unacho lkn jinsi ya kupangilia hicho kipato ukashindwa,mfano unaanzisha biashara kubwa pasipo kufanya research...
Back
Top Bottom