Recent content by The tireless Hunter

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha kikundi cha Ujasiriamali

    Ndugu habari, Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza chaki

    Nahitaji mashine ya kutengeneza chaki yenye matundu 400 kama ipo weka mawasilano hapa. mashine aina hii
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kutengeneza chaki

    mashine bado ipo? kama ipo nahitaji nipo Mazimbu Morogoro nipe namba yako ya simu tuwasiliane
Back
Top Bottom