Recent content by The smartest

  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu njia sahihi ya kutumia kufanya uamuzi juu ya uchaguzi wa hisa za kununua

    kimsingi nimefanya baadhi ya literature review juu ya hii issue na bado naendelea nayo, ila inaonekana ni methods mbili zilizo na mitazamo miwili tofauti na kila njia ikiwa na advocates wake. Ila pia wapo wanatetea kuwa investor anaweza kutumia njia zote mbili kwa wakati mmoja. Naomba kama kuna...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu njia sahihi ya kutumia kufanya uamuzi juu ya uchaguzi wa hisa za kununua

    Habarini za kwenu wadau wa masuala ya stocks. Naomba kujua juu ya ukweli kuhusu method sahihi ya kutumia kufanya uamuzi juu ya uchaguzi wa hisa za kununua sokoni kati ya fundamental analysis method na technical analysis method hasa katika soko letu la hisa la DSE.
Back
Top Bottom