Recent content by the sister

  1. the sister

    Mpishi wa jinsia ya Kike mwenye kujua kupika vyakula aina zote, anahitajika

    Anahitajika mpishi wa kike anaejua kupika vyakula vya aina zote na vitafunwa. Awe tayari kufanya kazi muda wowote. Mshahara tunaanza na Tsh. 120,000 kwa mwezi Pm for more details nikuunganishe na boss wako
  2. the sister

    Mapenzi hayajawahi kuniacha salama moyo wangu umejaa mapenzi ila nimeshaathirika kisaikolojia naogopa kupenda tena

    Kwa nini unatanguliza nimedokelewa na kuachwa? Hata sijadokolewa kwa taarifa yenu[emoji57]
  3. the sister

    Mapenzi hayajawahi kuniacha salama moyo wangu umejaa mapenzi ila nimeshaathirika kisaikolojia naogopa kupenda tena

    How are you sure if you are not one of them if this is my new ID tena ni anonymous
  4. the sister

    Mapenzi hayajawahi kuniacha salama moyo wangu umejaa mapenzi ila nimeshaathirika kisaikolojia naogopa kupenda tena

    Karma will never come to me it will work with those who have hurt me
  5. the sister

    Mapenzi hayajawahi kuniacha salama moyo wangu umejaa mapenzi ila nimeshaathirika kisaikolojia naogopa kupenda tena

    This is not fair kwa nini ucheze na hisia za mtu kiasi hiki? Kumbuka utakua na watoto wakike hiyo laana unayoifanya sasa itapita kwa watoto wako
  6. the sister

    Nahisi kuchoka kuwa na huyu mwanamke

    Lazima ana mwanaume mwingine anaempa kiburi
  7. the sister

    Mapenzi hayajawahi kuniacha salama moyo wangu umejaa mapenzi ila nimeshaathirika kisaikolojia naogopa kupenda tena

    Nilikutana na mtu humu Jf miaka mitano nyuma mpaka leo tumekuwa kama ndugu watu huwa hawaamini kama tulikutana tu kwenye social media. So if someone is luck enough he/she can get a true person from social media
  8. the sister

    Mapenzi hayajawahi kuniacha salama moyo wangu umejaa mapenzi ila nimeshaathirika kisaikolojia naogopa kupenda tena

    Usiombe ukutane na mwanaume aliyetendwa zamani halafu ukafall in love nae yatakayokukuta hutaamini ndo kama wewe unavyowafanya wanawake wenzangu..mnatuumiza sana
Back
Top Bottom