Sema dada angu umekuja na makasiriko sana, hakuna mtoto anayetumia mitandao ya kijamii, humu wote n watu wazima 18+, Sasa kam wewe n mwalimu wa nidhamu endelea tuu kusahhsha madaftari😄.
Salam kwenu Wajumbe,
Agenda kubwa ni SHKAMOO!
Sote twajua kuwa linapokuja suala MAHUSIANO (MAPENZI) hasa pale unapoona kuna jimbo umelielewa huaga umri hautuzuii kutimiza malengo yetu (wanasema umri ni namba tu😄)
Inatokea ME kuna ka KE ka elfu 2 umekaelewa mtaani kwako au popote pale, ile...
Ktk vitu sinaga uvumilivu navyo basi ni kumtongoza mwanamke muda mrefu, mimi ninazo siku zangu 3 tu, za kuanzia kutongoza hadi kupata jibu. Zikivuka hizo na sijapata jibu lakueleweka basi najua kuwa nishatemwa. So, kama mwanamke atasema anizungushe ili ajue kama nipo serious basi mimi mtihani...
Hapo sindo wamekuheshimisha sasa, maana Madam imekaa (mwanamke aliyepevuka kiakili na kifikra, anayejiweza kimaisha, muonekano mzuri na mwenye kipato chake au kazi nzuri) ndo maana inaanziaga shuleni😄
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.