Sawa historia imeeleweka kuwa
Sawa historia yako imeeleweka na hongera kwa kazi nzuri, ila kama chanzo cha mgawanyo wa mataifai ni watoto wa Nuhu ambao walikua wanaongea lugha moja. Je, lugha hizi zote za sasa zimetokea wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.