Recent content by The RO

  1. T

    Kulikuwa na uhalali gani kwa Chief Mkwawa kutambulika kama 'Shujaa?

    Jibu hapo ni ndio. Unaweza kufahamu pia kww urahisi tu; vita ya iraq usa imepiganwa wakati teknolojia ikiwa wazi kabsa, pili, ni vita ambayo haijazidi miaka 3. Vita ya mkwawa vs ujerumani imepiganwa kwa takribani miaka 8; wajerumani walikuwa na teknolojia kubwa zaidi kuliko mkwawa, unàweza...
  2. T

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Naomba ufafanu I juu ya Mark II Grande gx 110; bei yake, uimara wake, spea, Na matumizi ya mafuta. Maana naambiwa kuwa hii gari inakunywa mafuta Sana.
  3. T

    Namna rahisi ya kupata leseni ya udereva

    Wadau naomba kufahamu kama ukiwa unahitaji kupata madaraja C ya leseni, unaweza kusomea C1, C2, C3, kila moja peke yake kwa nyakati tofauti au huwa zinaenda zote kwa pamoja.
Back
Top Bottom