Recent content by The Palm Tree

  1. The Palm Tree

    Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

    Ameanzia wapi hata akatoa kauli hii...? Nina hakika kuna maneno umeacha na ukatupia (quote) sentensi hii moja tu.. Naamini kuna mahali Zitto kaanzia na kuna mahali alimalizia.. Otherwise, mimi binafsi nakubaliana na Zitto 100% katika mantiki ya hoja yake... Mabadiliko yoyote ya kisiasa ni...
  2. The Palm Tree

    Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

    Yaani watu wote wakiwa na akili duni za kufikiri na kisha kuamua kama zako, maisha yasingekuwa na maana kabisa... Yes, he's dead but he's in the history books.... Na katika maisha haya, historia ni mwalimu wa wakati uliopo na tunatumia historia ku - predict future... Mfano, ni mtu mjinga...
  3. The Palm Tree

    Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Tindo, this is just a change of tactics... Katika vita yoyote kinachobadilika huwa ni mbinu za kivita na siyo malengo... Wakati wa Magufuli there was no round table for talkings kati ya CCM - chama kinachoongoza serikali na vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani). Yeye alitaka kuwamaliza...
  4. The Palm Tree

    Mbowe ataitisha mkutano wa Baraza Kuu kusikiliza rufaa za Wabunge 19 kama Tundu Lissu alivyoahidi?

    Kipaumbele cha bajeti ya 2022/2023 ni: KILIMO KWANZA... Tatizo lako unabeba mengi mno kichwani mwako mpaka unachanganyikiwa.... Sasa unaleta haya ya ndani ya nyumba ya watu, ili sisi tusemeje? Kusudi lako tumeshalujua. Ni ili utuunge kwenye tela lako la ku - spin/kujadili umbea...!!
  5. The Palm Tree

    Serikali yawasilisha mapendekezo ya bajeti ya 2022/2023 ya Tsh trillioni 41.06

    Kwani KILIMO KWANZA ililetaga mafanikio gani eti...?Na Mwigulu anaileta kauli mbiu hii tena kwa mlango wa bajeti...? Na TANZANIA YA VIWANDA VYA MAGUFULI ndiyo kwa heri tena na wameamua kuizika kimoja na MwendazakeJPM...? Na maana yake ni kuwa, vile viwanda 8,000 kila mkoa, kabla hata...
  6. The Palm Tree

    Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

    So, what is your point here na tushike lipi hasa...? Kwamba mamlaka za mipango miji huko Ugunja - Zanzibar ziliamua kulivunja kanisa la Mch. David Suni kwa sababu they are all insecure....? Au tumwamini DC asemaye kuwa, zimevunja kanisa hilo kwa sababu ya utabiri wa hali ya hewa kusema kuna...
  7. The Palm Tree

    Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

    Ni kweli... Sisi sote ni binadamu... In some different occassions and cirumstances huwa tunafanya makosa ya kutisha na ya kawaida dhidi ya binadamu wenzetu. Makosa haya ndiyo huitwa dhambi... Hivyo sote sisi tuna dhambi, tunahitaj msaada ili tuokoke toka ktk adhabu ya makosa hayo ambayo...
  8. The Palm Tree

    Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

    Ndugu britanicca upo? Hizi ramli zako zinakupa majibu gani? Sasa unaweza tu kubadili uelekeo kwa kuwa unaweza kuona kwa macho yako ni nani anakwenda kufa kati ya lizee CCM lililokwisha jichokea na kijana machachari na mtanashati CHADEMA....!!
  9. The Palm Tree

    Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

    Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI. Hawa...
  10. The Palm Tree

    Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Asipodai yeye, wewe si uendelee kudai..? Na wewe obviousily ni wa upande wa wale wa kijani CCM kuumiza na kubambikia wapinzani wenu wa kisiasa kesi za ugaidi wa uongo.... Wewe unajiona mjanja eti umeji - comouflage kwa avatar ya logo/brand ya CHADEMA na kuji - personify kwenye u - CHADEMA...
  11. The Palm Tree

    FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Watanzania na Baraza la Wanawake Chadema Iringa 08/03/2022

    Hotuba nzuri sana. Sijawahi kuiona kwa kiongozi yeyote wa CCM labda Nyerere J. K pekee.... Mr Freeman Mbowe is a truly a GOOD LEADER...!!
  12. The Palm Tree

    Iringa: Freeman Mbowe mgeni rasmi Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na BAWACHA

    Sambamba na picha bila ya kinachosemwa, inakuwa haina maana sana... Ungetuletea na jumbe (mesaages) kutoka kwa yanayojiri katika hotuba za main speakers hususani mgeni rasmi Freeman Mbowe..
  13. The Palm Tree

    Kesi ya Mbowe ilipikwa kipindi cha Hayati Rais Magufuli

    Mengine yote sawa Mr Lord Diplock MR.... Ila hoja namba 8 nikusahihishe kidogo... Freeman Mbowe hakukimbia nchi kwa maana ya "kukimbia kwa eti kwa sababu alikuwa na makosa" kwa maana ya yale aliyoshitakiwa kwayo... So, the best statement kuhusu hili inapaswa kuwa hivi....; ".......baada...
  14. The Palm Tree

    Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

    Kwenye kesi mliyoshindwa kuendelea nayo na kuamua ku - surrender hakukuwa na shitaka la "kutukana/matusi" wala hilo la "uanaharakati...." Wewe Kingai haya unayatoa wapi au unaota....?
  15. The Palm Tree

    Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

    Exactly, huu ndiyo utaratibu.... Mimi nashauri hata kama CHADEMA watapitia upya maamuzi ya kuwafukuza, tukumbuke kuna ishu ya jinai ya kufoji nyaraka.... Wakitaka kurudi basi, watoe ushirikiano kumweka/kuwaweka wazi waliotumiwa na CCM ya Polepole na Bashiru + NEC ili kughushi nyaraka za chama...
Back
Top Bottom