Kimejadiliwa nini..?
Changamoto gani serikali itakazozipatia ufumbuzi..?
Tatizo lilikuwa nini mpaka linafikia hatua hii ya kuumiza watu (wasafiri/abiria) wasiohusika na mgogoro...?
Abiria waliocheleweshwa safari zao, walioingizwa gharama zingine na kuteseka stendi kwa siku mbili na wale...
Asante sana kwa uchambuzi mzuri & unbiased...
Anastahili sifa zote njema huyu mwamba...
With all the respect, umelezea facts za mtu huyu muhimu na wa ajabu kuwahi kutokea duniani...
Njia anayopita katika safari yake ya kupigania uhuru na haki za binadamu kupitia jukwaa la uanaharakati wa...
Very good..
Umemfumua na kumgaragaza vibaya sana na bila shaka huko aliko anauguza maumivu na kujifuta mavumbi ya kipigo ulichompa...
Huyu mzee ni sawa tu na akina Steven Wassira, Joseph Butiku, Jaji Mstaafu Othman Chande, Jaji Mstaafu Lila and the likes..
Wanaharibu hadhi na heshima...
Mimi Sijashangaa wala kuwa shocked na habari uliyoileta..
Nimeshngaa jina lako tu kujiita KUZIMU🥺
Na watakusaka tu kwa sababu ni wazi kuwa wewe ni INSIDER wa msafara wa huyo PM wenu haramu ktk serikali haram...
La haumo ndani ya msafara, basi uko kwenye ofisi za hapohapo Airport tena zile za...
1. Maswali yako yote haya jibu lake rahisi na Moja tu ni kuwa, kwa Wakili mzoefu kama Tundu Lissu pamoja na jopo lake la mawakili waliokuwa wakimsaidia huku nje kumpa updates ya mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea huku nje, hilo lisingeweza kuwa gumu kwa kiwango unachofikiri wewe...
Yote...
Wana kesi naye kule mahakama ya Kisutu...
Ni kesi ya uchochezi kwa maneno haya haya na ni kama wameitelekeza vile maana haijawahi kuitwa kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa..!
Hii kesi imeshaisha ndugu,
Hanyongwi mtu hapa. Hakuna kosa la uhaini pale.
We don't care kama hawa Majaji wako upande wao au la...
We don't care whether Wana hukumu yao mfukoni au la..
What we care and what we know ni kuwa, THERE'S NO TREASONOUS ACTS WHATSOEVER katika tuhuma hizi.
There's...
Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!!
================
Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga.
DPP na...
adhabu
basi
court
final
hana
hatia
high
high court
hukumu
hukumu ya kifo
jamhuri
jela
katika
kesi
kesi ya uhaini
kifo
kifungo
kituko
kushindwa
lissu
mahakama
miaka
tundu
tundu lissu
uhaini
uhaini wa lissu
waiomba
yakubali
HAPANA..!!
Kwa hili, WATAJISIMAMIA tu whether they like it or not...
Kuna wakati hata saa mbovu, husema muda kwa usahihi...
Hata kama wana hukumu yao mfukoni waliyopewa kuisoma na waliotengeneza kesi hii ya uongo, lakini mpaka hapa tulipofikia, hawana choice bali kusimama upande wa haki kwa...
HAPANA..
Kwa ilipofikia, binafsi siuoni uwezekano huo..
Japo ni ukweli usio na shaka hata chembe kuwa, Tundu Lissu keshauchakaza na kuufumua marinda ushahidi wote wa Jamhuri beyond repair..
Matundu ya ushahidi wa Jamhuri ni mengi, makubwa na hayafukiliki kiasi cha kuiacha kesi yao uchi bin...
Nimekusoma ndugu..
Uchambuzi wako, sio mbaya lakini kama Mwanasheria umeshindwa kuwa na kauli ya moja kwa moja katika maeneo ambayo actually yana upogo wa kisheria kwa walioifungua kesi hii..
KAMA WEWE ni Mwanasheria unayesimamia sheria na haki, unashindwa nini kusema straight forward kwamba...
Na wewe ni dwanzi tu..
Na haina shaka yoyote kuwa huelewi hata maana ya "serikali.."
Serikali daima ni chombo cha kuhudumia wananchi wote...
Wote (watu) wanaounda serikali, kuanzia Rais hadi chini huku kwa mtendaji wa mtaa na mwalimu au nesi, hawapaswi kujinasibisha kwa chama chochote katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.