Tunaambiwa Coronavirus baada ya kuingia kwa binadamu wanakaa kooni kwa mda wa siku nne baada ya hapo ndio wanashuka kwenda kwenye mapafu.
Baadhi ya watu ambao walishakumbwa na janga hili kabla yetu walikua wakitumia njia ya kujifukiza na kunywa maji ya moto yenye mchanganyiko wa limao na vitu...
Tunaambiwa kwamba coronavirus kabla ya kufika kwenye mapafu wanakaa kooni kwa muda wa siku nne baada ya hapo wanashuka kwenda kwenye mapafu.
So kwa tahadhari ulioionesha hapo juu, ningependa upendekeze njia sahihi ya kukabiliana na virus hao kipindi wakiwa bado kooni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.