Hata za wizara huwa zina migogoro pia.. unakuta eneo moja lina Hati 4. Muhimu ni kufanya search deed kabla hujanunua kiwanja vivyo hivyo hata vya skwata ambavyo asilimia nyingi za Watanzania tunamiliki kufanya upelelezi kwa majirani na serikali za mitaa au manispaa kuangalia eneo matumizi yake...
-Ukubwa wa kiwanja ni SQM 1045
- kiwanja ni Tambalale
-umbali kutoka Fery ni KM 21
umbali kutoka baharini ni km 3 na kutoka Main Road ni km 3
kiwanja kipo Mtaa wa Shirikisho
Document - serikali za Mitaa.
Contact for serious buyer 0692450861
Price : 12,000,000/= (Negotiable) .
Kiwanja ni tambarare
Ukubwa wa kiwanja ni square meter 1045
Mawasiliano for serious buyer 0692450861
Umbali toka Feri ni km 19
Price - 12,000,000/= Negotiable.
huyu atakuwa aina ya watu wabishi wale ambao walikuwa hawaelewana na incharge wao. so ikitokea safari hapewi kumkomoa . hivyo kaona asepe tu. pale mzee napajua . dereva tu anamkimbiza daktari wa halmashauri parefu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.