swali zuri kaka
njia pekee ya kuwabana wanunuzi na wafanya biashara ni kupoteza kabisa mfumo wa cash na badala yake kuwe na mfumo wa online money pekee,,,ambapo kila mtu atakua na fedha zake katika card pekee na sio cash,,,ili kila atakapotaka kufanya manunuzi atumie card,,na kila atakapokua...