Recent content by The Kingston

  1. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Mabaka usoni yananitesa

    Asante
  2. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Mabaka usoni yananitesa

    Mh haya
  3. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Mabaka usoni yananitesa

    Cream kama zipi hizo nitumie
  4. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Mabaka usoni yananitesa

    Haichubui ngozi hiyo cream
  5. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Mabaka usoni yananitesa

    Yanatokana na chunusi yaani ikiisha tu inaacha kovu lakini hayawashi ninayo kwa muda mrefu ila siku za karibuni yamezidi, sijatumia dawa yoyote
  6. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Mkojo kuwa na rangi ya njanooooo

    Hahahaha...... Kumbe mtu kajaa madini halafu anauliza!!!!!
  7. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Mkojo kuwa na rangi ya njanooooo

    Mh!!!! lita 12 aisee ni nyingi mno kwa staili hiyo inabidi akae na kopo pembeni la kuweka mkojo
  8. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Mabaka usoni yananitesa

    Wadau naomba mnijulishe ni sabuni gani au lotion gani nitumie ili kuondoa haya mabaka usoni au pia nifanye kipi ili kuyatoa haya mabaka usoni kwangu maana uso wangu umeharibika.
  9. The Kingston

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    nimekupata
  10. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Msaada pliz

    Ile ya macho ya maji
  11. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Msaada pliz

    Hospital nimeenda nimepewa dawa ya matone ile ya macho lakn bado upo tu nauona
  12. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Msaada pliz

    Chini ya jicho yaan nyusi ya chini
  13. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Msaada pliz

    Jaman wakunisaidia hawapo
  14. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Nisaidieni
  15. The Kingston

    JamiiForums Tanzania Aina za mifuzi

    Hahaha..... Kwani nia yako ni nini hasa
Back
Top Bottom