Yeah inawezekana, lakini unaweza tumia njia hizi mbili: -
1. Download program endeshi kama vile android na uweke kwenye pc yako ili iweze kusupport hilo gemu, kama vile remixos, bluestark, emo nk, hizo ni program endeshi za pc kama android, install na unaweza pc ako kama simu tu, playstore nk...