Search results

  1. The Invincible

    Joram kiango vs Willy Gamba

    Willy Gamba...James Bond. Kwa walioangalia movies za James Bond, Musiba kapita humo.
  2. The Invincible

    Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Wewe unaonekana ni tapeli tu wa mtandaoni. CRDB mambo bado.
  3. The Invincible

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Chifu Hangaya alibebeshwa tu mzigo huu. Hili jambo lilibuniwa wakati wa lile jibwa kutoka burigi. Alhamdulilah!
  4. The Invincible

    Tuache Ufyatu: Ni Kama Bado Tunadeka...

    Ha ha haaa Ulienda msibani bro? Hatimaye
  5. The Invincible

    BAVICHA kufanya Julai 1, 2021 kuwa siku ya Katiba

    With Magufuli in power, a new strategy was required. It was effective. With this mama ni power, another strategy is required. This one is lesser lethal, but full of benefits.
  6. The Invincible

    Tumsaidie Rais Samia kuijenga nchi hii

    Support yetu ataipata tu. Alimradi aoneshe nia njema na thabiti.
  7. The Invincible

    Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

    🤣 🤣 Take it easy id1ot. Kuwa raisi hakumfanyi awe malaika. Atakosolewa kama wengine. Kama tuliweza kulikosoa lile jibwa la Kitulo na likazima, sembuse huyu.
  8. The Invincible

    Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

    Hivi wewe mwenye mawazo ya kijima, unaongelea ujima upi tena? 🤣 🤣 🤣
  9. The Invincible

    Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

    Mama hapo kateleza. Labda tumpe the benefit of doubt...hakujiandaa kwa hilo swali. Lakini inakuwaje sensitive issue kama hiyo raisi hajiandai kwa majibu? Maana lazima ataulizwa tu.
  10. The Invincible

    Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

    Aisee Nilianza kumuamini huyu mama Samia. Kumbe kheee!
  11. The Invincible

    TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

    Look like watu walivyofurahia kifo cha lile jibwa haribifu huko Kitulo, uliumia vya kutosha.
  12. The Invincible

    Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    Ha ha haaa. Usikute hata haupo kwenye government payroll
  13. The Invincible

    Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    Mshahara ni haki, sio hisani. Waache wafanyakazi waudai. Haina uhusiano na kuwa na extra source of income or not.
  14. The Invincible

    Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla

    Asante Paskali kwa unabii wako huu. Bwana yule "alifaulu" kuua upinzani hadi akapitiliza. Sasa anaongoza malaika huko
Back
Top Bottom