Recent content by The g's

  1. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wwe wa kilwa lindi unayetaka kwenda katavi.... tumtafute yule wa katavi anayetaka kuja Mbogwe geita ili mimi wa mbogwe geita nije kilwa lindi... nadhani inawezekana call 0788425098 au 0756952109
  2. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    WEWE WA Kasulu, mimi nipo Geita mbogwe... nitafutie wa kanda ya Pwani, Moro au Kilwa ukimpata ani- PM au atumie +255756952109 au +255788425098
  3. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    wewe wa mvomero njoo geita-mbogwe karibu na mwanza.... Kama upo tayari ni-pa au call +255788425098
  4. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe wa pande, njoo Geita mbogwe nije kilwa ili kusaidiana duh... uhamisho mgumu PM au call +255788425098
  5. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo geita mbogwe mimi nije kilwa lindi tubadilishane,,,, uhamisho ni mgumu sana hvo tusaidiane tu mkuu PM au call +255788425098
  6. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndugu... tafuta mtu wa mikoa ya Morogoro (manispaa au JIRANI YAKE), Pwani wilaya yeyote au dar atakayekuwa tayari kuja Nzega ili mimi niende huko pwani wewe uje Bukombe au Mbogwe. call +255788425098 au +255756952109 idara ya msingi...
  7. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    wewe mwalimuu wa shule ya msingi kutoka Kibaha Kisarawe Mkuranga Kilwa Morogoro Dar na wilaya zote za Pwani? NJOO GEITA BUKOMBE /MBOGWE NIJE HUKO NILIPOPATAJA Contacts +255788425098 au +255756952109
  8. T

    CCM: Hivi ikitokea katiba yenu imekataliwa na wananchi mtafanyeje?

    KWA Chama cha Mapinduzi (CCM): Ni dhahiri kwamba kwa kila mtu anayetamani kujua mustakabali wa nchi yake atafahamu nia na makusudi ya CCM kulazimisha muundo wa katiba waliyoipendekeza, waliyoitunga, waliyoipigia kura na waliyoipitisha na hata kuichezea aina fulani fulani za muziki bungeni...
  9. T

    CCM: Hivi ikitokea katiba yenu imekataliwa na wananchi mtafanyeje?

    So, what type of creature do CCM need to approve constitution if Citizens are not part of the people to approve constitution?... do CCM members not human?... dont say so...
  10. T

    CCM: Hivi ikitokea katiba yenu imekataliwa na wananchi mtafanyeje?

    KWA Chama cha Mapinduzi (CCM): Ni dhahiri kwamba kwa kila mtu anayetamani kujua mustakabali wa nchi yake atafahamu nia na makusudi ya CCM kulazimisha muundo wa katiba waliyoipendekeza, waliyoitunga, waliyoipigia kura na waliyoipitisha na hata kuichezea aina fulani fulani za muziki bungeni...
  11. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe wa kilwa unayetaka kuja masasi.. mimi nipo bukombe geita, kuna mtu wa masasi anataka kuja bukombe hvo nataka tufanye hivi.... yeye aje bukombe, mii nije kilwa then wewe uende masasi au vp?... kama fresh nichek kwa 0788425098 au 0756952109
  12. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Uwe makini usije ukatapeliwa wewe... huo utaratibu haupo....
  13. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Poa mimi nipo tayari kuaj Kilwa lindi kutoka Geita -Mbogwe/Bukombe call 0788425098 au 0756952109
  14. T

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndg... njoo Geita Mbogwe mimi nije huko kusini kama upo Kilwa 0788425098 au 0756952109
Back
Top Bottom