Recent content by The Greater One

  1. T

    Kusomea tahasusi ya CBG

    Kwan kipi kinaweza kuwa kizuri zaidi yeye kusomea,na kipo advance au college?
  2. T

    Kusomea tahasusi ya CBG

    Asanteni nyote Kwa ushauri wenu
  3. T

    Kusomea tahasusi ya CBG

    Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu amehitimu kidato cha nne kwa matokeo yafuatayo; CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' na anapenda kusoma advance akaniomba nimshauri asomee nini, Sasa wakuu ninyi mnashauri vipi?
Back
Top Bottom