Recent content by The great Beberu

  1. The great Beberu

    Urusi salama ipo mikononi mwa ardhi ya Ukraine

    Tunashukuru mkuu Kwa historia nzuri
  2. The great Beberu

    Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

    Nakupa mfano mmoja tuu kwenye bible kitabu Cha Daniel,serikali kipindi hicho ya babel ilitoa amri ya kuiabudu sanamu ya mfalme but wao wakaipinga amri na kusema tutamwabudu Mungu Muumba mbingu na nchi but sio mwanadamu ,na baada ya kugomea amri ilitoka wachomwe kwenye tanuri la moto,but Mungu...
  3. The great Beberu

    Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

    Nahic ndugu husomi vizuri maandiko ukaelewa Bali Huwa unapitia kuangalia ,itabidi urudi tena kusoma ndio uje kukometi,si vizuri kuitukana au kuisema vibaya serikali Bali kuikosoa na kutoa maoni mbadala ndicho kinachotakuwa ili kuiponya na kutenda vema Kwa wananchi walioipa idhini serikali iwaongoze
  4. The great Beberu

    Dunia bila ya Ukiranja wa Marekani itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana

    Yaani jibu lako linaonesha uhaalisia wako,
  5. The great Beberu

    Dunia bila ya Ukiranja wa Marekani itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana

    Inaonesha historia ya Dunia huijui ndio maana unaona kama Marekani ndio sululisho la usalama na amani Duniani sio kosa lako but sivyo unavyofikiria ili ujue itabidi utoke kwenye ilo box ulilojifichia ndio utaelewa au tukusaidie kubomoa hili box
  6. The great Beberu

    Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

    Hilo unalolishabakia haliendi kuleta amani Bali ni uharibifu wa binadama na Mali zao na pia simetumwa Kila aina za silaha na kelele nyingi lakini hakijabadilika Kila kitu Cha msingi kuwaombea amani na si kushangilia watu wanapouana
  7. The great Beberu

    Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

    Hebu fatilia hiyo drone inaweza kubeba tan ngapi za mabomu ndio useme kadrone kadogo tuu,sio unakurupuka kuongea kabla ya fact Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  8. The great Beberu

    Kwangu mimi Putin ndiye mshindi wa vita kati yake na Ukraine

    Mkuu mbona umesahau kuwaorothesha na wale maraisi na nchi zao wanaosababisha vurugu duniani USA, UK,France, na ndugu zao wengine
  9. The great Beberu

    Kwangu mimi Putin ndiye mshindi wa vita kati yake na Ukraine

    Hapo unataka kudanganya Mkuu hata kama humpendi mtu si Kwa kumsingizia uongo Hebe lete ushahidi wapi tundu lisu amesema anaunga ushoga
  10. The great Beberu

    Kikosi hatari cha majasusi na makomando watakaoiangusha Serikali ya Russia

    Nahic umetoka usingizini nakushauri ulale tena na uamke kichwa itakuwa sawa
  11. The great Beberu

    Tume ya Uchaguzi ni huru, hatuhitaji kufanya mabadiliko

    Mimi naona Kwa mawazo yako uko sahihi kabisa ila ukiacha kutumia valium chooni ufahamu wako utakuwa Bora zaidi
  12. The great Beberu

    Marekani kumzui Elon Musk kununua Twitter

    We jamaa unamajibu mazuri ,Mungu akutunze uendelee kuwepo duniani Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  13. The great Beberu

    Kwanini Tanzania hatuna misimamo ya wazi UN

    Tanzania ni nchi huru na tuna viongozi wenye kufanya maamuzi sahihi Kwa nchi na wananchi wake,na si kufata kina Nani wataka nini ,na huu pia ni ujasiri wa kutoendeshwa au kuchaguliwa upande Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  14. The great Beberu

    Bei ya gesi yafikia rekodi mpya Ulaya

    Yaaani Kuna watu wanajua kuwanyoosha wenzao na watu wenyedharau ,Kweli tutayajua mengi na mataifa wanafiki Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  15. The great Beberu

    Dmitry Medvedev: Mashambulizi ndio kwanza yanaanza

    Hahaha hapo kwenye mashoga wenzie Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom