Je baada ya shule watoto hawa wenye ulemavu huenda wapi?
Swali hili huulizwa na watu wengi sana. Kwamba katika shule twawaona watoto wengi wenye ulemavu tofauti tofauti ila tunao waona ni wale wenye ulemavu wa viungo yaani Phycal handicapped. Lakini , hao wengine tunao wajua kama wenye akili...
Elimu ni jambo la msingi kwa mtu yeyote yule, pasipo kujali hali ya maumbile au ulemavu wowote ule. Japo kuwa kuna watoto wengi ambao wametaabika wasipate mtu au mwalimu aliye na uzoefu wa kufundisha na kuwaleta wanafunzi hawa kwa kiwango cha kujitegemea, shule nyingi na pia watu na hat walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.