Recent content by the gifted ric

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mh! Maji yamenifika shingoni

    Ulishaanzisha mahusiano na mwanamke mwingine,cha muhimu mjali na kumpenda,huyo aliyekupotezea muache aende zake
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli unauma

    Inaumiza kuyaona na kuyasikia mambo yafuatayo yakifanywa na wanaume wa kizazi cha sasa hivi,Ni aibu na hayafai kabisa katika jamii zetu.1.Kushindwa kutunza siri,Kila mwanadamu ana matatizo na mapungufu yake ambayo kwa kiasi kikubwa hutakiwa kuyatatua kwa kina na umakini mkubwa,Lakini katika Siku...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli unauma

    Inaumiza kuyaona na kuyasikia mambo yafuatayo yakifanywa na wanaume wa kizazi cha sasa hivi, ni aibu na hayafai kabisa katika jamii zetu. 1 .Kushindwa kutunza siri,Kila mwanadamu ana matatizo na mapungufu yake ambayo kwa kiasi kikubwa hutakiwa kuyatatua kwa kina na umakini mkubwa,Lakini katika...
  4. T

    JamiiForums Tanzania My future wife

    Mke wangu mtarajiwa,najua uko sehemu salama ukivuta muda na jamaa mwingine kabla hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndani Ninayo machache ya kukueleza.. 1. My future wife, Jiandae kuwa mother material wala sio mom material.. usipaniki ntakuelewesha nachomaanisha, Mke wangu mpendwa mmeo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Diamond ndio kwisha kabisa kimziki, Kabakia kupumulia mbeleko za Video za Godfather

    Diamond ni game changer,kawadisappoint nyie haters ambao mlitegemea atatoa wimbo wa kuchezeka,Anazidi kuwabadilishia gia angani,sasa wimbo unauita LUPELA Kweli??Huu wimbo ndo bongofleva halisi,afro pop zipo kibao,mlivujisha ka school baby uko wapi?Nagharamia imebuma week ya kwanza tu!!HUYU...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Let charts and talks about life

    Nahitaji kampani ya watu wazima (wanawake)walio arusha&Dar kuchart na kubadilishana mawazo!!let meet giftedlawyer@gmail.com
  7. T

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz anyakua tuzo 3 AFRIMA, Vanessa Mdee aleta Moja nyumbani

    Kijana anazaidi ya tuzo 50 kwa sasa!!yuko kwenye game kwa miaka 5,
Back
Top Bottom