Recent content by The Ghost

  1. The Ghost

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Uache kushinda kwenye mitandao na kufanya umbea. Ukipata nafasi ya kusoma soma kweli kweli! Kila jambo na wakati wake. Ila pole jiandae kwa kurudia mwaka kama hicho chuo kina utaratibu huo
  2. The Ghost

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Tatizo nyie viongozi wa CCM magumashi sana. Mnatuzuga kwa maneno mazuri wala hamna lolote! Sijakaribia hata kuamini, tukishamuona Ben nitakaribu kuyaamini kodogo maneno yako.
Back
Top Bottom