Recent content by The Future 85

  1. T

    SoC03 Mfumo tiba ukosefu wa ajira nchini

    Ajira ni kazi au shughuli ambayo mtu anafanya kila siku na kujipatia kipato kwa ajili ya kujikimu na kufanya maendeleo binafsi na nchi kwa ujumla. Mazingira wezeshi ya upatikanaji wa elimu (elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari), elimu ya kati vyuo vya kati na elimu ya juu (serikali...
  2. T

    SoC03 Lugha ya Taifa(Kiswahili Sanifu) hatarini kuanguka

    Wasomi wetu na viongozi wa ngazi za juu (wafanya maamuzi) ambao tunategemea au tuliwategemea kuita na kuendesha mjadala wa kitaifa ili mwisho wa siku tukubaliane na kwenda na lugaha ya kiswahili katika kufundishia kuanzia msingi, sekondari hadi chuo kikuu, ajabu wao ndo wamekua waoga, kimya kami...
  3. T

    SoC03 Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Kumekuwepo na wimbi kubwa la vijana wanaomaliza vyuo kuzagaa mtaani na kulia kilio cha ukosefu wa ajira na ukosefu wa mitaji. Sio kama hatufahamu ile mikopo ya halmashauri kwa vijana ila tatizo ni mitaji ya michongo michongo tu. Kwenye wazo lako la mpango maalum napenda kushauri itumike njia...
  4. T

    SoC03 Tatizo la ajira laweza kuisha na kubaki kuwa historia Tanzania

    Serikali imeweka kima cha chini cha mshahara kwa kila aina ya ajira. Shida ipo kwenye usimamizi na ufatiliaji hasa kwa sekta binafsi. Waajiri wanalipa wanavyoona inafaa, kwanini? Waajiriwa wengi hawajui ajira fulani kima cha chini anapaswa kulipwa sh ngap, waajiri wengi wanatumia ukosefu wa...
  5. T

    SoC03 Mawasiliano ya viongozi yawekwe wazi kurahisisha utoaji wa taarifa, uovu kutoka kwa wananchi

    Mawasiliano njia ya kupashana habari, kufikishiana jumbe na taarifa kati mtu na mtu au mtu na shirika, mwananchi na kiongozi/viongozi, mashirika kwa mashirika au viongozi kwa viongozi. Kukuwa kwa teknolojia kumerahisisha mawasiliano kufanyika kwa haraka hasa pale njia ya ana kwa ana inapokuwa...
Back
Top Bottom