Recent content by THE FORBES

  1. T

    Tetesi: Sekretariet ya Kamati Kuu CHADEMA kufumuliwa

    Ni taharuki katika viunga vya mitaa ya ufipa, taarifa zisizo rasmi ni kuwa Katibu Mkuu bora zaidi wa Chama Afrika Mh. John John Mnyika anatarajia kufanya mabadiliko makubwa ya think tanks wa chama katika kipindi kisicho zidi wiki moja ijayo. Hii inatokana na msukumo mkubwa uliopo katika kutimiza...
  2. T

    Hatari ya kusambaa Coronavirus: Mashine za kutolea fedha (ATM Machines) zimulikwe kwani zinaweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu

    [ Autometed Teller Machine(ATM) ni moja ya kifaa kinachoweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu wa Corona ila bahati mbaya sana mpaka sasa sijasikia ni hatua gani zinachukuliwa na mabenki pamoja na serikali katika kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huu kupitia mashine hizi za ATM. Kwa...
  3. T

    Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    Serikali inapaswa kuchukua hatua zaidi ya hizo zikiwemo; kufunga sehemu za umma kama mabenki, vyuo, masoko makubwa kama kariakoo, mlimani city, makanisa nakadharika.
  4. T

    Uchaguzi wa Katibu Mkuu BAVICHA 2019: Upepo wamwendea vizuri CPA Kitalika Titho

    Wanazengo salaam. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kinachoendele katika uchaguzi ndani ya BAVICHA hasa kwa wagombe sita wanaofahamika yaani huyu CPA KITALIKA, Hemed ALLY, Simbeye Edward, Nusrate Hanje, Gwamaka Mbughi na Chacha Machera. CPA Kitalika, Gwamaka na Chacha hawakabiliwi na...
  5. T

    Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

    Gwamaka ameanza kukabiliwa na shutuma za kuhusishwa na Cecil Mwambe ambaye ni mgombea wa uenyekiti wa chama Taifa akimkabiri Freeman Mbowe. Kashfa hii haiwezi kuamcha salama hata kidogo hasa ukizingatia shaka anayotiliwa mh Mwambe kwamba anatumika na TISS. Kashfa ya kutumika na Mwambe...
  6. T

    Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

    Mwambe awambie na wadogo zake SIMBEYE na GWAMAKA kwamba kamwe hawataweza kutoboa. tumewashtukia mapema.
Back
Top Bottom