Recent content by The entertainer

  1. T

    JamiiForums Tanzania Njiwa kukaa juu ya bati usiku kuna maana gani

    Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuandaa script nzuri

    😂😂😂Tutakumbukana kaka
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuandaa script nzuri

    Shukrani sana
  4. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuandaa script nzuri

    Shukran sana nitafanyia kazi ushauri wako
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuandaa script nzuri

    Habari wanajamii forums, Mimi ni kijana ninayependa masuala ya utangazaji, na kutokana na nafasi iliyotangazwa na wasafi media ya mashindano ya kutafuta watu wenye kipaji cha utangazaji, nikaona ni vyema nikajaribu bahati yangu. Hivyo lengo la kuja kwenu ni msaada wa jinsi ya kuandaa script...
Back
Top Bottom