Recent content by The Engeez

  1. The Engeez

    TANESCO: Kupanda bei ya umeme hakutaathiri wateja wa kawaida

    Huyu mkurugenzi wa TANESCO katuona watanzania ni mapoyoyo na tusiosoma na kwa ujinga wetu tumeanza kukubali kuwa ombi lao kwa EWURA halijahusisha bei kupanda kwa wateja wa majumbani huo ni uongo mkubwa. Ni kweli kuwa wametenganisha watumiaji wa kawaida na watumiaji wa umeme wa minara na mabango...
  2. The Engeez

    Kitendo cha CHADEMA 'kuimport' viongozi wa Kanda kutoka Kaskazini, je nini nyuma ya pazia?

    Mjibu na hoja za Shehe Halifa kuhusu Pogba kujaza wakristo kwenye timu yake as if Waislam hawana sifa za kuongoza.
  3. The Engeez

    Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO kuhusu kupanda kwa bei ya umeme

    Pitia mahesabu yao waliyoyapeleka EWURA uangalie ni wapi pana uhuni ambao Magufuli hatoukubali ndo ulete hiyo story, andiko la application ya kupandisha tariff linapatikana hapa www.ewura.go.tz kasome vizuri umshauri JPM
  4. The Engeez

    CV ya James Mbatia na kelele zake kuhusu uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma

    Wahandisi hawasajiliwi na bodi ya makandarasi wanasajiliwa na Bodi ya Wahandisi Tanzania (Engineers Registration Board ERB(T)).Pia kuna makosa mengi ya uandishi kwenye post yako
  5. The Engeez

    Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Ukileta mambo madogo watu watakujibu hivyo hivyo kulingana na udogo wa fikra zako
  6. The Engeez

    Prof. Lipumba niliyekutana nae akiwa na chupa ya maji mkononi!

    Unatetea ujinga kwa sababu ujinga huo una msaada kwa upande unaouamini,Pole sana Mwenyekiti! Nash MC aliimba "Haujafanya ninachofanya Profesa ....,Unaweza kuwa Profesa kumbe Profesa Gay, Unashangaa nini kwani Maalim hakosei"
  7. The Engeez

    Magufuli lazima aambiwe ukweli: Viwanda bila umeme na miundombinu ni ndoto

    Tusahihishane kidogo MegaWatt hazizalishwi hiyo ni installed capacity,zinazozalishwa ni MegaWattHours, Mengine tuko pamoja
  8. The Engeez

    Rate President Magufuli on democratic principles

    Umjibu kwani wewe ndo Magufuli?Sema uchangie,
  9. The Engeez

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    CCM mna vichwa maji sana, mlikuja na hadithi za kwamba maandamano yatafanyika mikoa mingine ila Moshi hayatakuwepo kisa CHADEMA wanaleta fujo mikoa mingine ila sio anakotoka Mbowe, leo mnatishia Moshi kwa polisi na mikwara kibao ya kuyumba kwa utalii mbona hamueleweki nyie
  10. The Engeez

    Tamko la Mkurugenzi wa TCAA Hamza Johari kuhusu waunda ndege wazawa ni la hovyo

    Huko ulikohamia ndio umezidi kudhihirisha wewe ni kilaza, System Distribution Voltages zilikuwa tofauti kwa sababu kila nchi ilikuwa inajitegemea uuzalishaji na masoko yake ya bidhaa kwake na makoloni/followers wake, Nowadays dunia nzima inahangaikia flexibility kwa sababu dunia imekuwa kijiji...
  11. The Engeez

    Tamko la Mkurugenzi wa TCAA Hamza Johari kuhusu waunda ndege wazawa ni la hovyo

    Hata Lugumi alikuwa fundi viatu tangu Mwaloni Kirumba mpaka Posta. Leo hii anapata tenda za Bilioni 30s
  12. The Engeez

    Tamko la Mkurugenzi wa TCAA Hamza Johari kuhusu waunda ndege wazawa ni la hovyo

    Dada endelea na siasa na hata sio siasa ni UCHWARA fulani hivi ndio unaouelewa lakini vitu vya kitaalam na sera nakuona mweupe sana. USHAURI WANGU ni kwamba kaa bila kupost bandiko lolote kwa takribani miezi 18 ili upate mafunzo ya kufanya udadisi,marejeo,utafiti n.k then unaweza kuwa analyst...
  13. The Engeez

    Tamko la Mkurugenzi wa TCAA Hamza Johari kuhusu waunda ndege wazawa ni la hovyo

    Pumba zake za kwenye siasa anataka ziapply kwenye utaalam, hakuna ubunifu na ugunduzi wa kiholela uliozaa matunda.
Back
Top Bottom