Habari za Asubuh wanajamii,
Tangu Shirika la USAIDS kufutwa hapa nchini na Mimi kuanza kutafuta ajira sehemu mbalimbali nimejionea mambo mengi sana. Kwanza kabisa kwenye suala la ajira na kuitwa kwenye interview. NGO au International organization nyingi huwa wanaita watu wachache sana kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.