Recent content by The branding

  1. The branding

    JamiiForums Tanzania Texas, Marekani : Raia wa Senegal aliyevaa sweta limeandikwa "property of Allah" aingia bar na kuvurumisha risasi, 3 wafariki, 14 walijeruhiwa

    Mk Mkiona US na Israel wana deal na hizi mbwa effectively muwe mnaelewaa....
  2. The branding

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu sasa awa Mwanasiasa maarufu zaidi Barani Afrika

    Tokea ujue hilo neno nonsens na gentleman, you don care hata kama mtu ni jinsia ya kike, wewe unasema gentleman tuu. Umekariri ile Mbaya...
  3. The branding

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Dahhh... Nime Cheka sana kwa hii comment..
  4. The branding

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jopo la majaji 3 Mahakama Kuu laona hoja ya Mzee Malisa, kuhusu CCM kuvunja katiba yake lina mashiko. Hivyo kuanza kusikilizwa

    Hata hilo linawezekana pia but the so called mahakama wawe wameagizwa na CCM. Ili wa assume kurudia mchakato ni maagizo ya mahakama na si vinginevyo..
  5. The branding

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jopo la majaji 3 Mahakama Kuu laona hoja ya Mzee Malisa, kuhusu CCM kuvunja katiba yake lina mashiko. Hivyo kuanza kusikilizwa

    Hahaaa, serikali kupitia the so called mahakama inataka polepole aache kuzungumzia ishu ya uteuzi wa Sa100 kwani atakuwa anaongelea suala lililo mahakamani...
  6. The branding

    JamiiForums Tanzania Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

    Bado ni prototype(sampuli kifani) acha ushabiki wa kijinga. Iran Hana fighter jets as of now..
  7. The branding

    JamiiForums Tanzania Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

    Ulitaka watumie vitu wasivyokuwa navyo?
  8. The branding

    JamiiForums Tanzania PICHA: Luteni Jenerali Mashikilisane Fakudze, Mkuu wa majeshi nchini Eswatini

    Kweli mkuu yule wa Iran hakuwa na unene wowote wateule wakapita name.... Unene si ishu..
  9. The branding

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

    Wako overrated hakuna wanchojua zaidi ya baadhi yao kuvaa tumiwani tweusi hata wakati hakuna jua. Tatizo linaanza na namna wanavyopatikana.
  10. The branding

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuanza kazi kama Balozi ndugu Polepole alipelekwa kozi pale Dr Salim Kurasini, sasa kwanini anadhani Balozi ni Cheo cha KiCCM?

    Yani uombe kujiuzulu ili mteuzi akufukuze kwenye media? Ni bora kuwahiana hivyo hivyo..
  11. The branding

    JamiiForums Tanzania Ndio meli ipite salama maeneo ya Houthi, lazima itangaze kwamba kila mhudumu humo ni Muislamu

    Eti hao ndo waruhusiwe kuwa na nuke.. kupitia mfadhili wao Iran.
  12. The branding

    JamiiForums Tanzania China Stratopheric Airship ina uwezo wa kuiona F-35 ya toka umbali wa 2,000 Km

    Na Yale ya Iran na kale ka mfumo kake ka Bavar, akapigwa nako na Yahudi...
  13. The branding

    JamiiForums Tanzania Kituo Kikuu cha Mawasiliano kambi ya anga ya Marekani iliyoko Qtaar kiriharibiwa na mashambulizi ya Iran

    Kwa akili yako ndogo unadhani huyo Iran angeshinda angekubali kusimamisha Vita? Pili kwa akili zenu mnadhani Iran angeach kujitutumua kurusha tu mishale?
Back
Top Bottom