Recent content by The boss himself

  1. T

    JamiiForums Tofauti ya kozi hizi ni ipi?

    Wakuu naombeni msaada wa utofauti wa hizi: BCom in Human Resources Management and Bachelor of Human Resource Management
  2. T

    JamiiForums Biashara ya majengo ya kupangisha

    Poleni na kazi wadau, Mungu atusaidie kupata zaidi katika miangaiko yetu ya kila siku. Mungu ni mwema nyakati zote, nikiwa kama kijana Nipo mwaka wa pili udsm katika familia wanandugu tumeuza jengo flani la mzee na kufanikiwa kugawana kila mmoja million 386. Plan yangu kubwa ni kuwekeza...
Back
Top Bottom