Recent content by The Avatar

  1. The Avatar

    JamiiForums Tanzania Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

  2. The Avatar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA American fridge, good condition inatumia umeme kidogo bei 1.6m

    Ikifika 1M nicheck
  3. The Avatar

    JamiiForums Tanzania TV Inch 65 inahitajika offer 800,000

    Ukishaiba nichek
  4. The Avatar

    JamiiForums Tanzania TV Inch 65 inahitajika offer 800,000

    Smart tv Inch 65 brand yoyote offer yangu ni 800k..
  5. The Avatar

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Tv inch 65 Hisense Used inauzwa

    Mkuu TV bado ipo?
  6. The Avatar

    JamiiForums Tanzania External Hard Disk imekuwa Corrupted 1TB

    Alinifanyia 15,000
  7. The Avatar

    JamiiForums Tanzania External Hard Disk imekuwa Corrupted 1TB

    We upo maeneo gani,yangu pia ilifanya hivyo kuna fundi maaneo ya Tegeta nyuki alinisaidia bila bila kuformat data zangu, naijua ofisi yake ila namba zake sina.
  8. The Avatar

    JamiiForums Tanzania Movie, series unahitaji nipo tayari kukuhudumia

    Acha uongo huna movies utakua na malengo yako mengine,Mimi nimekucheki mara kadhaa lakini story kibao
  9. The Avatar

    JamiiForums Tanzania Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport ya kusafiria

    Mkuu..!Cheti cha kuzaliwa kina sehemu kimekosewa tarehe ya kuzaliwa,Je naweza kutumia NIDA kama mbadala wake?
  10. The Avatar

    JamiiForums Tanzania Internet Sharing Point to Point

    Mkuu kama utahitaji router ninayo mpya kabisa nicheck,nilichukua kwaajili ya kufunga fibre lakini sikufanikiwa..0715860702
  11. The Avatar

    JamiiForums Tanzania Nishike mkono kwa kunipatia kazi yoyote halali

  12. The Avatar

    JamiiForums Tanzania Nishike mkono kwa kunipatia kazi yoyote halali

    Mkuu kuna Noah ipo,kama unawazo la biashara ambalo litatunufaisha wote karibu..
  13. The Avatar

    JamiiForums Tanzania Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    Mkuu..TV yangu ina itoa mstari wa rangi kwa juu,mara njano,blue,black etc,ni samsung 50 inchs...shida ni kioo?
  14. The Avatar

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    650k...0715860702
Back
Top Bottom