Kajibiwa hapo chini kuhusu IGA, HGA alivyoongelea diplomasia pia hawazungumzi muungano kama unayo nyingine nisaidie mkuu mm nataka nisikilize kote kote
Mkuu
Mimi sifahamu nimeona profesa wa sheria na wanasheria wengi wakiongelea mkataba una tatizo na wakitoa hoja hizo kutoka kwenye mkataba huo
sasa nimeomba wajuzi waseme je profesa shivj na wengine wanajitungia nilihitaji mtu atakayepangua hoja zao kama wao walivyoleta hoja
Hoja siyo kuiba...
Inawezekana ni kama St. Francis wasichana wale hakuna mtoto kuchapwa na ni shule ambayo performance yake ni nzuri mno haina mfano.
Ila kwa hivi vichwa vya watoto wa siku hizi sijajua ILA linawezekana
sawasawa ila nilishangaa sentensi yako huamini uganga ILA unamwamini mungu mimi binafsi najua anayeamini uwepo wa MUNGU lazima pia aamini uwepo wa shetani au nakosea madam?
Madam kwanini huamini uganga na unaamini wakati wa MUNGU?
Au ndiyo yaleyale ya serikali kwenye matamasha ya kimataifa kuna mapadri na masheikh lakini wanakwambia serikali haiamini ushirikina?[emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.