Recent content by Thamani Academy

  1. Thamani Academy

    Unathamini na kuhusudu mafanikio ya wengine lakini unadharau juhudi zako?

    Ni mara ngapi huwa unasifia Juhudi na hatua ulizopiga katika harakati zako za kila siku? Au na wewe una ile tabia ya kushabikia Mafanikio ya mtu mwingine huku ukidharau mafanikio yako mwenyewe?⁣⁣⁣⁣ ⁣⁣⁣⁣ Ile hali ya kujiona haustahili kupata mafanikio, haustahili kuwa na cheo flani au haustahili...
  2. Thamani Academy

    Acha kuiga tabia za watu waliofanikiwa

    Ninatambua sana kwamba, wamekufundisha na kukuambia "Utafute Role Model" na uige kile anachokifanya ili uweze kufanikiwa kama yeye. Wamekufundisha pia kusoma vitabu vya Mafanikio na kufuata kile kilichoandikwa humo.⁣ ⁣ Mimi leo ninataka kukuambia ukweli. Ukweli utakaobadili maisha yako. Upo...
Back
Top Bottom