Recent content by Thailand

  1. Thailand

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi alafu linahitaji waombaji waliooajiriwa

    Mishahara ya TIC ipoje,?
  2. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Naona kaliwa kichwa mwenye wazo hili la kujenga nchi za watu
  3. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    U Uholela na umaskini wa kutengenezewa ndio kete ya ushindi kwa chama chakavu
  4. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Ni kweli kabisa hao jamaa calculation zao ni kuvuna tu wasipopanda
  5. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Yaani wewe jamaa ndo maana nikakwambia hujui unaongea nini! Huo ni uwekezaji ambao nchi nyingi tu makini zinafanya hivyo, shida ya huu wetu ni kwenda kujinga migorofa kwenye nchi za watu na kujidai eti huo nao ni uwekezaji. Kwanza pesa yetu tu madafu, pesa ambayo unaenda kujenga tower mbili...
  6. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Aisee pole sana! Wewe ndio unastahili ukaombewe maana hujui ulisemalo. Ni serikali gani inahusika na kufanya biashara. Ungekuwa na akili ungeelewa hata makosa ya uandishi kwenye comment yako maana umesema matajiri na wafanyabishara huzunguka kuwekeza popote duniani na sijaona umetaja kama ni...
  7. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Yaani huyo mwamba kila wizara anayopewa lazima achomeshe fire
  8. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Yaani hata hiyo bajeti wakiipeleka kwenye mipango miji ya majiji yetu Tanzania watakuwa wamesaidia sana kwa sababu kila eneo litakuwa Tanzania litakuwa limechorwa lijengwe kwa namna gani.
  9. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Wanatapanya sana ela za wananchi, sijui nani atawafanya wabadilike
  10. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Kuna majengo pacha (tower) serikali imesema itajenga Nairobi Kenya, na nchi nyinginezo duniani
  11. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Nimeeleza hapo chuo kikuu hicho ni kwa ajili ya michezo na riadha ambayo ni maarufu kwa nchi za Kenya na Uganda ambapo Mara imepakana na nchi zote hizo pia. Lakini pia nimesema kijengwe kiwanja cha michezo cha kisasa kwa ajili ya michezo ya olimpiki katika karibu na bichi zetu, kwa hiyo na hapo...
  12. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na wazo la kwenda kujenga nchi za nje kwa kisingizio cha uwekezaji, tujikite kuijenga nchi yetu iwe na hadhi ya kimataifa

    Yaani nchi maskini kama Tanzania yenye uchumi mdogo wa kumudu changamoto za nyumbani kwake mwenyewe, unatoa tena hicho kidogo na kukipeleka nje kuzijenga na kuendeleza nchi za wenzetu. Hii sio akili! Kuna mambo mengi hapa nchini tunaweza kuyafanya na yakatuvutia uwekezaji mwingine mkubwa tu, na...
  13. Thailand

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge waliojiongezea mshahara hawajamchangia Rais Samia fomu. Walimu wanao lipwa pesa ya pipi wanamchangia fomu

    Walimu wachache wanaaribu taswira nzima ya walimu wote
Back
Top Bottom