Recent content by Thadeus Materu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: ⁦⁦Rais Magufuli hivi unajua ⁩biashara ya wabunge wa Ukonga na Monduli tu iligharimu taifa Shilingi 12,449,659,588.00 ?

    Kwa Ccm rushwa ni tunu ya taifa Polepole ni bingwa wa sera hii Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

    Nadhani sasa polisi wamepata pa kuanzia. Kama hawatachukua hatua ni wazi wanajua ukweli na wanamwona huyu bwana ni kichaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyeruhusu wanafunzi wa sekondari kuvaa hijabu alijua madhara yake?

    Kwani shule tunatangaza dini .mambo ya dini ni kwenye nyumba za ibada na siyo shuleni wenzetu Kenya wameacha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyeruhusu wanafunzi wa sekondari kuvaa hijabu alijua madhara yake?

    Suala la hijabu mashuleni ni bomu kwa Taifa. Huwezi kuwaonyesha watoto/ wanafunzi kubaguana kwa misingi ya dini hali unagenga taifa lenye umoja. Tumsaidie Mama Ndalichako kupiga kelele.analijua lakini anaogopa kushambuliwa na waislamu kumbukeni alivyokuwa baraza la mtihani Sent using Jamii...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu mwanachama kutangaza nia ya Urais?

    Kitu kinachoifanya nchi hii kudharauliwa na kuitwa nchi ya manyumbu ni uwezo wa wengi hasa wa ccm kutotafakari mambo na kuibua ukweli na uhalisia wa mambo au kwa makusudi au kujitoa ufahamu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kuwa na shule za aina hii hapa nchini.

    Sangaa pia wanafunzi kuvaa hijabu vazi la maudhui ya mila au dini shuleni na hakuna anayekemea .shule zetu zinakuza misingi ya kubaguana na si afya kwa taifa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom