Recent content by Thadesco

  1. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Atasema nini amekutana na choko kwenye harakati zake
  2. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jezi za timu ya Taifa ni mbaya, hata ukiisugua na dodokii

    Hii nchi kuna watu unajiuliza kwa nini ni viongozi…..Yaani mtu Kama Huyu ndo Uhalisia wa Yale aliyoyasema Mwl Nyerere kuwa kuna watu wana tabia za kimalaya malaya…..Ethics za uongozi ni sifuri….unajiuliza na aliyemteua ana uhusiano naye upi….yaani hakuna uchungu wa Mali za umma…..inasikitisha sana
  3. T

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Pugu wanaopakana na pori linalodaiwa ni eneo la Jeshi, tunakabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa

    Mitaa ya pembeni ya lami inayoenda kona ya majohe
  4. T

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Pugu wanaopakana na pori linalodaiwa ni eneo la Jeshi, tunakabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa

    Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza kuhusu suala hili. Tatizo hili linadaiwa kusababishwa na watu wanaodai kuwa wamiliki wa eneo hilo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Sandaland: Kwa mujibu wa Mkataba, aliyepaswa kuzikataa Jezi ni TFF, wakati tumepeleka 'sample' kama hazikuwa na ubora

    Tokea swala la Bashite mpaka mtu kuwa Waziri wa Sekta nyeti ya michezo….nilitegemea haya….mtu Hana uelewa wowote wa mambo ya michezo anakurupuka anaongea vitu vya hovyo Kama hivyo..ni kituko
Back
Top Bottom