napata uchungu wa nchi hii..kila cku mambo ya ajabu yanatokea mara Richmond, mara mabomo Mbagala, mara Downs hata hatujatulia leo Gongolamboto mabomu..TBC ikowapi na kauli yao ya UKWELI NA UHAKIKA??? au wanasimulia habari za watu binafsi tu kama Dr. Slaa kafanya hiki kafanya kile? TBC1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.