Mkuu pole sana yawezekana nawe ni victim kwenye mkakati huu ndio maana umepanic. But trust me so soon things will unfold themselves.
Pole sana kama nimekugusa kwenye kipele chako
Kwa mara nyingine CCM inaendelea kupungua umaarufu na kuporomoka imani kwa wananchi na wanachama wake kwa kile kinachoitwa kudandia hoja za wapinzani sambamba na kuungana nao ili kuiangusha serikali yao. Hii imekuwa ikitokea hata katika nchi mbalimbali duniani hasa za kiafrika kwa vyama tawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.