Recent content by Teye

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wateja wa jumla wa mkaa

    Ndugu Chimala1,mimi si dalali ,mkaa nimetoa shambani kwangu.Nimeuza kwa bei hiyo wiki hapa Dar .
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wateja wa jumla wa mkaa

    Mzigo umefika.Gunia aina ya lumbesa Shs.60,000
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wateja wa jumla wa mkaa

    Wala si hivyo,bado mambo yalikua hatua za mwanzo. Kama bado unania,mzigo unaiingia wiki hii.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wateja wa jumla wa mkaa

    Sawa, ntakupigia
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wateja wa jumla wa mkaa

    Nauza kwa jumla tu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa (Apartment) Tabata

    Napangisha nyumba -Apartment.Ipo Tabata Sigara ghorofa ya pili Block B Ina vyumba 2 vina makabati ya ukutani,choo & bafu, sebule & sehemu ya kulia,jiko,stoo,balcony 2,maji yapo na ulinzi. kwa maelezo zaidi , piga 0786 812078
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wateja wa jumla wa mkaa

    Mkuu,ni pm toungee zaidi.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wateja wa jumla wa mkaa

    unahitaji gunia ngapi?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wateja wa jumla wa mkaa

    Natafuta wateja wa jumla wa mkaa walioko Dar es salaam.Mkaa unatoka mkoa wa Lindi Karibuni tuwasiliane.
  10. T

    JamiiForums Tanzania RamaDBK LTD Japanese Car Exporter

    Ni kampuni ya kuaminika na wana magari mazuri. Mimi pia ni mteja wao ,nimenunua magari mawili ,yalikuja na hali nzuri sijapata usumbufu. Muda kwa order ni kama wiki 3 hivi mali inafika bandarini. Kwa bei wako juu, ila ubora ulinifanya nirudi tena kwao.
  11. T

    JamiiForums Tanzania soko la karanga

    nipe mawasiliano yako
  12. T

    JamiiForums Tanzania soko la karanga

    uko wapi?Je,umeshapata soko?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Gharama Ya Solar Power

    Mkuu,nimeweka kutumia kampuni ya mionzijua gharama ya bila wiring ni tshs.950,000.ila kama watakufanyia na wiring ni tshs.1.5m kwa kila kitu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Asante kwa shule hiyo. Ntazidi kutafuta ufahamu wa zao hili.Hii ni pension bakubwa.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Mrembo,pole na majukumu. Nimeona kwenye post yako umepanda miti ya Mitiki Pwani. Mie nina eneo Rufiji ,je Mitiki inakubali huku?
Back
Top Bottom