Recent content by Tetengo

  1. T

    The truth remain as truth

    WHY I CONVERTED FROM ISLAM TO CHRISTIANITY. I converted from Islam to Christianity simply because Islam gives no guarantee of salvation. Because Islam recognises that Jesus is 'the word of God' so God "the Messiah" therefore the savior ( Surah 3 v 45). Because Allah recognises in the Qur'an...
  2. T

    Mpaka sasa Shetani anaongoza kwa asilimia 100% dhidi ya mpinzani wake

    Ndiye Mungu mtukufu aliyeumba vyote,mwenye uweza wote na nguvu zote,na upendo wote na asiyeshindwa chochote.aliyekuwako,aliyepo na atakayekuwako,utukufu,enzi,heshima una yeye milele hata milele
  3. T

    Mpaka sasa Shetani anaongoza kwa asilimia 100% dhidi ya mpinzani wake

    Ipo cku utamtambua kuwa yeye ni nan,dharau vingne ila c kwa Mungu mtukufu aliye muumbaji(YEHOVA)
  4. T

    Mpaka sasa Shetani anaongoza kwa asilimia 100% dhidi ya mpinzani wake

    Acha kukufuru,IPO cku utaelewa.Tubu na uuangame, uiepuke hasira Kali ya YEHOVA juu ya waasi.
  5. T

    Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

    Mtu akifa hajui neno lolote mhubiri 9:5
  6. T

    Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Ukishindwa kuzaa,unatulia wanazaa wengine,msiwe na wivu,weng wenu mnajikuta uzaz umegoma ndo mkawaonea wivu wengne
  7. T

    Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Acha weee! Labd kwako,sisi simiyu hata mboga ya majan,dagaa inatiwa maziwa,mtoto anaamkia kuchoma viaz na karanga akiwa anasubiri kifungua kinywa,mchana anachoma mahind akiwa anasubiri chakula,mda wowote ukiamua kula samaki hata kama huna hela unaingia mto Simiyu
  8. T

    Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Kwenye mkoa wako tu ndo hakuna mayai,nyama na maziwa maana mpaka ununue,kama unataka uzaz wa mpango ni wewe na mwenz wako,ethic haisem kulazisha uzaz wa mpango. Kanda hiyo watu wana ekari za kutosha za mazao,wanafuga kuku,mbuzi ,kondoo na ng'ombe,akose hata maziwa na mayai? Hata asiye...
  9. T

    Ni kwanini KEMET haipewi heshima yake katika ulimwengu huu?

    Nan kakwamby wakristo wanapotaja amen wanamaanisha Mungu? Usipende kuchanganya madensa ya vitu isipovijua
  10. T

    Kwanini Waadventista Wasabato hamuipendi historia yenu halisi kabla ya 1863

    Unafaham maana ya agano?,kuna tofauti kati ya agano jipaya na vitabu vya agano jipya.By the way kip kilichopelekea useme wanaegemea agano la kale?
  11. T

    Kwanini Waadventista Wasabato hamuipendi historia yenu halisi kabla ya 1863

    Uliuliza wakakwamby hivo? Wangap umewaulza? Soma vizur historia juu ya kile unachokiongelea,usome pia kitabu cha Danieli na ufunuo.
  12. T

    Mpaka sasa Shetani anaongoza kwa asilimia 100% dhidi ya mpinzani wake

    Ipo cku utaelewa ya kuwa Mungu yupo! Nayo i jaribu,ukitaka kuwa salama mwamini na kumwomba msamaha maana hujifunua kwa namna tofauti kutegemea na ugumu wa moyo wa huyo mtu ktk kumwamin
  13. T

    Inakuwaje mtu mwenye akili zake timamu anaamini mambo ya Mungu, shetani, uchawi na majini?

    Amin nakwambia Mungu yupo! Ukitaka atajifunua kwako.
  14. T

    Inakuwaje mtu mwenye akili zake timamu anaamini mambo ya Mungu, shetani, uchawi na majini?

    Zaburi 14:1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Back
Top Bottom