Recent content by testa

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Iringa: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Chadema hali siyo nzuri Iringa mjini
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na Umuhimu gani kuwa na Tamasha Kubwa la Kisiasa katika Uwanja muhimu wa Mpira ambao tarehe 11 Oktoba utatumika Kimataifa?

    Aliyeshauri ule mkutano ufanyike pale anatakiwa akapimwe akili...ule uwanja ni wa serikali siyo wa ccm...Ccm wameuza maeneo ya wazi hapa Dar..toka vyama vingi vimeanza sijawahi kuona mkutano wa kisiasa ukifanyika kwenye viwanja vya mpira vya serikali has a hapa Dar
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanakalenga tumempata Mbunge wetu makini, ni wakati wa Kalenga kung'ara

    Tena huyo Kiswaga kwa wanaomfahamu jamaa ni kilaza hata Shule yake ni ya kunjunga
  4. T

    JamiiForums Tanzania JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Aliishatangulia mbele ya haki
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ihefu Sport Club yaingia ligi kuu Tanzania

    Masanja hana mahusiaono na hii team...wamiliki wa hii team ni Highland Estate wanaomiliki mashamba ya Mkonge mkoani Morogoro na Mpunga huko Mbalali Mbeya ..familia ya PirMohamed
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ihefu Sport Club yaingia ligi kuu Tanzania

    Haroon PirMohamed aliyekuwa mbunge wa Mbalali
  7. T

    JamiiForums Tanzania Aisee! Facebook kuna vituko

    Kashinda kura za maoni kundi la walemavu
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Kyela mzee mwakyembe kaanguka kapita Ally kinanasi 493 Hunter 283 mwakyembe 245 hayo ndooo matokeo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio zilikuwa enzi

    2014 nilienda kwenye kampeni za uchaguzi mdogo Kalenga nilikutana nalo maeneo ya Ipamba hospital limebeba magogo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio zilikuwa enzi

    Na mm nalitaka like Bedford
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu sasa tushindwe Wenyewe Kubeba Kombe la VPL kwani kwa ' Fixture ' hii mpya Simba SC hachukui Ubingwa tena!

    Mhh!! toka lini Gentamycine ukawa shabiki wa Yanga
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi kuu ya Vodacom kuchezwa kituo kimoja

    Kwani hapo hujaelewa nini?
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi kuu ya Vodacom kuchezwa kituo kimoja

    Habari Taarifa ambayo Ni Rasmi Mh.Waziri Mwenye Dhamana Ya Michezo Mh.Harrison Mwakyembe Ametangaza kuwa Mfumo wa Uchezaji wa Ligi katika Mpira wa Miguu ni kuwa Ligi kuu itachezwa katika Mkoa mmoja ambao ni Dar es Salaam hivyo timu zote zitacheza mkoani Dar. Huku Ligi daraja LA kwanza na ligi...
Back
Top Bottom